Omba masomo ao wasiliana nasi
Kama wewe ni mchungaji ao kiongozi wa kanisa na ungependa:
- Nakala zilizochapishwa za masomo ya KGM School zitumwe kwa kanisa lako
- Kuunganishwa kwa WhatsApp ili kupokea masomo kwa ujumbe
- Ruhusa ya kutafsiri masomo katika lugha nyingine
- Kushirikiana na Knowing God Missions
…tafadhali jaza fomu hapa chini.
Kwa mambo ya kichungaji yaliyo ya siri ao ya binafsi, tafadhali tuma email moja kwa moja kwa info@knowinggodmissions.org.
Bonyeza hapa upate orodha ya masomo.